Waakiek

Waakiek ni kabila dogo la watu wanaoishi katika mkoa wa Arusha,Tanzania kaskazini, na pia Kenya, wakihesabiwa kuwa 3,700 tu.[1]

Kati yao wazee wachache tu wanatumia lugha yao, Kiakiek.[2] Wengi wanatumia Kimasai au Kikuyu.[1]

Wametokana na Waogiek.

  1. 1.0 1.1 Lawrence, David (2009). Tanzania And Its People. CreateSpace. uk. 97. ISBN 1-4414-8692-5. {{cite book}}: Cite has empty unknown parameter: |coauthors= (help)
  2. UNESCO

© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search